Oooh, oh oh oh
Napiga simu hupokei, basi shika uniambie
Meseji zangu hujibu, au ni dharau baba wee
Kama hunitaki, kama hunitaki si uniambie
Kama hunitaki, baba si uniambie
Nikupe sh ngapi? Ili kwako nipande thamani
Au nikuchote nyayo, kwa mganga nikupeleke

(Hasara) Penzi letu hasara hesabu hazisomi
(Kwa Papara) Jiwe nililolirusha leo limenirudia

Mi ni nazi na we ndo mkunaji, Abiria nibebe bajaji
Kunipa presha ya nini kipenzi basi utulie?
Kweli ng'ombe wa masikini hazai, najiona nisie na bahati
Msingi nlio dhani Imara umesombwa na maji!