Back to Top

Aleko B.I.G - Baraka Lyrics



Aleko B.I.G - Baraka Lyrics
Official




Ni baraka eeh
Ni baraka eeh
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Kila njia bila nia na doh ni no
Me naraw kama don joh
Nikama nimekua born
Nablow kama horn
Nikisema am born
Ni reborn ya born ghetto don
Niko kwa zoon na naroam kama god
Dunia ni hell juu nilikua
Na dad na mum lakini dad
Akaenda nikabaki na mum
Hii thumb ifikie mum
Ni ya mtoto wa mum
Ya kunilea kwa slum
Saa hii mum me ni man
Mob na police kuniwarn
Juu ya kurob
Police walicome home kunipiga
Juu ya kulala nje na kurob
Sikukua natulia na bob
Nikikosa job narob
Na shosh akipata nikona doh
Ananishow siyuko job ananirob
Na anasema nizake nimerob
Na hajapoteza hadi bob
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Jua inawaka maovu
Ziko hapa kawa hapa
Sisi tunajipanga tunataka
Kuiba vitu za wenyewe hapa
Na sasa ubaya ni area lakini
Hatujali tunaiba area
Mkoba kando yangu
Bana amebonda
Duka haina mtu
Tujifanye tunaomba
Kumbe sio kuomba tunataka
Kuiba hizo chupa za soda
Bila kujua mwenyewe anatuona
Ako nje ya duka bana anatuona
Akatuitania mob ikakaribia
Ikajijazia tunamuibia
Me nikaskiya nimepigwa tu kichwa
Masaa zinapita naona damu ikititirika
Dakika ikupita shosh akaitwa
Enyewe nilikua bana namuhaibisha
Sikujua sio mimi
Mimi ni mzuri lakini
Shetani alijaribu kunishika lakini
Mungu alinishika nikakua makini
Sasa mimi ni huyu na huyu ndio mimi
Watu walinijua hawawezi amini
Hawawezi amini
Hawawezi amini
Hawa wezi amini
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Haraka baraka income
Tia bidii income sio fun
Some times life inakua rough tough
Nanunua bang navuta puff
Sitosheki enough juu me ni half man
Half God kama king natembea naroad
Vile natembea nagrow
Na vile nagrow mabega zinakua cold
Dunia ni curse pande ingine ni gold
Naji control nikijaribu kubeba hi gold
Gold hibebeki ni mzito me naiachilia
Na pia machozi inanizika
Juu ya vile me nalia
Mashida nashikilia hazina idea
Sina wa kulilia na sina wa kuambia
Hizi shida napitia zina nihangaisha
Lakini zitaisha
Lakini zitaisha
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka.
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Ni baraka eeh
Ni baraka eeh
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Kila njia bila nia na doh ni no
Me naraw kama don joh
Nikama nimekua born
Nablow kama horn
Nikisema am born
Ni reborn ya born ghetto don
Niko kwa zoon na naroam kama god
Dunia ni hell juu nilikua
Na dad na mum lakini dad
Akaenda nikabaki na mum
Hii thumb ifikie mum
Ni ya mtoto wa mum
Ya kunilea kwa slum
Saa hii mum me ni man
Mob na police kuniwarn
Juu ya kurob
Police walicome home kunipiga
Juu ya kulala nje na kurob
Sikukua natulia na bob
Nikikosa job narob
Na shosh akipata nikona doh
Ananishow siyuko job ananirob
Na anasema nizake nimerob
Na hajapoteza hadi bob
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Jua inawaka maovu
Ziko hapa kawa hapa
Sisi tunajipanga tunataka
Kuiba vitu za wenyewe hapa
Na sasa ubaya ni area lakini
Hatujali tunaiba area
Mkoba kando yangu
Bana amebonda
Duka haina mtu
Tujifanye tunaomba
Kumbe sio kuomba tunataka
Kuiba hizo chupa za soda
Bila kujua mwenyewe anatuona
Ako nje ya duka bana anatuona
Akatuitania mob ikakaribia
Ikajijazia tunamuibia
Me nikaskiya nimepigwa tu kichwa
Masaa zinapita naona damu ikititirika
Dakika ikupita shosh akaitwa
Enyewe nilikua bana namuhaibisha
Sikujua sio mimi
Mimi ni mzuri lakini
Shetani alijaribu kunishika lakini
Mungu alinishika nikakua makini
Sasa mimi ni huyu na huyu ndio mimi
Watu walinijua hawawezi amini
Hawawezi amini
Hawawezi amini
Hawa wezi amini
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Haraka baraka income
Tia bidii income sio fun
Some times life inakua rough tough
Nanunua bang navuta puff
Sitosheki enough juu me ni half man
Half God kama king natembea naroad
Vile natembea nagrow
Na vile nagrow mabega zinakua cold
Dunia ni curse pande ingine ni gold
Naji control nikijaribu kubeba hi gold
Gold hibebeki ni mzito me naiachilia
Na pia machozi inanizika
Juu ya vile me nalia
Mashida nashikilia hazina idea
Sina wa kulilia na sina wa kuambia
Hizi shida napitia zina nihangaisha
Lakini zitaisha
Lakini zitaisha
Asubuhi naamka ni baraka
Nikipata cha kukula ni baraka
Nikipata pesa hio ni baraka
Nikipata wera hio ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka
Mungu asanti juu life ni baraka.
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Alex Muthoni
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Aleko B.I.G



Aleko B.I.G - Baraka Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Aleko B.I.G
Language: English
Length: 4:05
Written by: Alex Muthoni
[Correct Info]
Tags:
No tags yet