Back to Top

Lini Video (MV)




Performed By: Appy tz
Language: Swahili
Length: 3:38
Written by: Ibrahim Mzonge




Appy tz - Lini Lyrics
Official




Baby Aaah,
Niko serious,
Kwako si fake wala si act,
Niko serious,
Baby aah,
Au mapenzi basi,
Niinusuru nafsi yeah,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujaali Eeee Eeee,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Sawa nikuvumilie eeh,
Ndoa za watu nihudhurie eeh,
Bado wajipanga ni kazi bure,
Unapiga magoti,
Hunivishi pete,
Wala hu propose yeah,
Ama ka moyo kangu kupe,
Kana ng'ang'ana,
Kupenda nisikopendwa,
Sa nawaza baadae ubadirikee,
Usi fadhirike woh uuh,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujali Eeeh Eeeh,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
I remember you told me,
Am your one and only,
Toka nyakati zile,
Pete haijawahi ona kidole,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujali Eeeh Eeeh,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


Swahili

Baby Aaah,
Niko serious,
Kwako si fake wala si act,
Niko serious,
Baby aah,
Au mapenzi basi,
Niinusuru nafsi yeah,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujaali Eeee Eeee,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Sawa nikuvumilie eeh,
Ndoa za watu nihudhurie eeh,
Bado wajipanga ni kazi bure,
Unapiga magoti,
Hunivishi pete,
Wala hu propose yeah,
Ama ka moyo kangu kupe,
Kana ng'ang'ana,
Kupenda nisikopendwa,
Sa nawaza baadae ubadirikee,
Usi fadhirike woh uuh,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujali Eeeh Eeeh,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
I remember you told me,
Am your one and only,
Toka nyakati zile,
Pete haijawahi ona kidole,
Nakulea kama mzazi,
Kwako kijakazi,
Wewe hujali Eeeh Eeeh,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Lini utanioaah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
Aah yeah Aah yeah,
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Ibrahim Mzonge
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Appy tz

Tags:
No tags yet