Hallelujah
Hallelujah
Mimi na Malaika Tutaimba
Tukifika hesabu Tutatoa
Mwenzangu utaeleza nini mbele zake?
Kwanza jiulize mwenyewe
Mungu yupi unamtumikia
Neno lake ametupatia
Ufalme wake Kwanza
Ndugu hesabu zako zipoje?
Mbele zake unalo lakusema
Au kungwi, dancer, mjanja, ndio hesabu zako
Umesahau lake Agano
Fumbuka Yesu Kwanza
Nyingi ahadi zake
Ufalme wake kwanza
Kamwe huto pungukiwa
Waza ya Juu
Kwa sababu upo juu
Mbona raha ndani yake
Usiseme sijakuambia
Hallelujah
Hallelujah
Mimi na Malaika Tutaimba
Tukifika hesabu Tutatoa
Mwenzangu utaeleza nini
Kwanza jiulize mwenyewe
Mungu yupi unamtumikia
Neno lake ametupatia
Ufalme wake Kwanza
Ndugu hesabu zako zipoje?
Mbele zake unalo lakusema
Au kungwi, dancer, mjanja, ndio hesabu zako
Umesahau lake Agano
Fumbuka Yesu Kwanza
Nyingi ahadi zake
Ufalme wake kwanza
Kamwe huto pungukiwa
Waza ya Juu
Kwa sababu upo juu
Mbona raha ndani yake
Usiseme sijakuambia
Hallelujah
Hallelujah
Mimi na Malaika Tutaimba
Tukifika hesabu Tutatoa
Mwenzangu utaeleza nini