Eeh Bwana!
Eeh Bwana!
Umenijengea uwezo
Sauti yako naisikia
Viwango nimepanda
Natafsiri mambo kwa uhalisia
Kweli Neema yako ni Upendeleo
Nakujia kwa Moyo
Nimemaliza mwaka
Nimefungua mwaka
Mengi nimejionea
Vita umenishindia
Njia umenifungulia
Viwango umenipandisha
Japo Sina mengi mema
Bali Neema yako umenipendelea
Umenijengea uwezo
Sauti yako naisikia
Viwango nimepanda
Natafsiri mambo kwa uhalisia
Kweli Neema yako ni Upendeleo
Kwa Jina la Yesu
Nitalihimidi milele
Nimekuwa zaidi na zaidi
Kwa Jina hili
Ooh Bwana
Neema yako isiniache
Niende wapi
Na kwako Kuna maneno ya uzima
Umenijengea uwezo
Sauti yako naisikia
Viwango nimepanda
Natafsiri mambo kwa uhalisia
Kweli Neema yako ni Upendeleo
Kwa Jina la Yesu
Nitalihimidi milele
Nimekuwa zaidi na zaidi
Kwa Jina hili
Ooh Bwana
Neema yako isiniache
Niende wapi
Na kwako Kuna maneno ya uzima
Umenijengea uwezo
Sauti yako naisikia
Viwango nimepanda
Natafsiri mambo kwa uhalisia
Kweli Neema yako ni Upendeleo