Mhh, mhh, ooh ooh
Bwana kweli sielewi
Lakini nakuamini
Moyo waniuma
Ila nakutumainia
Mbele sioni
Nakutizamia wewe
Akili imeshindwa
Imani yako inizidi
Bwana nimekuja Tena
Naomba mwisho wa haya
Upeo wangu umefika mwisho
Akili imesimama
Nahitaji msaada wako
Kimbilio langu na nguvu
Ni wewe tu Bwana
Majaribu ni mtaji
Nasubiria ukuu wako
Bwana kweli sielewi
Lakini nakuamini
Moyo waniuma
Ila nakutumainia tu
Mbele sioni
Nakutizamia wewe tu
Akili imefeli
Imani yako inizidi
Wenye haki walikutumainia
Ukawapa kushinda zaidi ya kushinda
Umenipa kufanyika mtoto wa Mungu
Nimekuwa mzaliwa wa haki
Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke
Ila mapenzi yako yatimizwe
Pamoja na haya
Bado nakuamini
Mhh, mhh, mhh, mhh, mhh
Wenye haki walikutumainia
Ukawapa kushinda zaidi ya kushinda
Umenipa kufanyika mtoto wa Mungu
Nimekuwa mzaliwa wa haki
Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke
Ila mapenzi yako yatimizwe
Pamoja na haya
Bado nakuamini