Ooh! Roho wa Yesu
Ooh, Ooh Ooh Roho
Baba naomba tuongee
Sikia ombi langu kwako
Sina Amani bila Roho wako
Kuna maana gani ya mimi bila yeye
Au uzima wangu u wapi bila yeye
Nikitizama uongo wa hii Dunia
Nikitizama mienendo ya hii dunia
Ndipo natambua bila Roho si kitu
Ooh! Roho wa Yesu
Ooh, Ooh Ooh Roho
Baba naomba tuongee
Sikia ombi langu kwako
Sina Amani bila Roho wako
Umenipa kuchagua, nakuchagua wewe
Umenipa kutazama, nakutazama wewe
Umenipa uzima, nakutumikia wewe
Umenipa nafsi, naiuza kwako
Umenipa kinywa, nakusifu wewe
Ooh! Roho wa Yesu
Ooh, Ooh Ooh Roho
Baba naomba tuongee
Sikia ombi langu kwako
Sina Amani bila Roho wako
Chanzo cha maarifa ni yeye
Utu wangu sababu ni yeye
Kubwa kwangu ni Roho wako
Nitajulishwa yote, Sitokuwa mgeni
Ooh! Roho wa Yesu
Ooh, Ooh Ooh Roho
Baba naomba tuongee
Sikia ombi langu kwako
Sina Amani bila Roho wako
Ohooo ohooo ohooo