Back to Top

Barua Video (MV)

Performed By: Bahati
Language: Swahili
Length: 3:48

Bahati - Barua Lyrics
Official

Bahati tena eh
Ni furaha Iliyoje Baba naitoa moyoni.
Na Ni furaha iliyoje kwako uisike hewani.

Ni barua ngapi nimeandika kwa njia ya muziki?
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki?,
Ni barua ngapi nimeandika kwa njia ya muziki?,
Nina nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki?,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,

Kufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue,
Kufunga nikafunga ila siri staki wajue,
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi
Nikikuita Daddy,

Barua yangu ya apenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita Daddy,

Ooh kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi,
Na kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami,
Ooh kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi,
Na kama kipaji wa burudani umekuwa nami
Kuna wengi wanaodai mapenzi kumbe walaghai,
Wana badili face kama kinyonga kamwe hawafai,
Kuna wengi mjini wanaodai mapenzi kumbe hawafai,

Nikuita daddy,

Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita daddy,
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Swahili

Bahati tena eh
Ni furaha Iliyoje Baba naitoa moyoni.
Na Ni furaha iliyoje kwako uisike hewani.

Ni barua ngapi nimeandika kwa njia ya muziki?
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki?,
Ni barua ngapi nimeandika kwa njia ya muziki?,
Nina nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki?,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,

Kufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue,
Kufunga nikafunga ila siri staki wajue,
Msamaha nikaomba kwa magoti nisikuzingue,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi
Nikikuita Daddy,

Barua yangu ya apenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita Daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita Daddy,

Ooh kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi,
Na kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami,
Ooh kama mapenzi msalabani ulifanya zaidi,
Na kama kipaji wa burudani umekuwa nami
Kuna wengi wanaodai mapenzi kumbe walaghai,
Wana badili face kama kinyonga kamwe hawafai,
Kuna wengi mjini wanaodai mapenzi kumbe hawafai,
Wana badili face kama kinyonga kamwe hawafai,

Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,

Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe,
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita daddy,

Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikikuita daddy,
Nikikuita mpenzi mpenzi mpenzi,
Nikuita daddy,
[ Correct these Lyrics ]

Back to: Bahati

Tags:
No tags yet