Back to Top

Benzema David - Foto Moto Lyrics



Benzema David - Foto Moto Lyrics




[ Featuring Noti Flow ]

Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Alehandro, Noti
Si unajuwa we ni ndoto
Nikicheki hizi photo zako
Zinanipea mandoto
Mtoto Noti umenichanganya
Naota usiku ukinifanyaga, fanyanga!
Yea ukinikanyaga
Utanipenda kama boil ama karanga?
Senor Alehandro
You have a visitor, its Noti Flow
Amekam bila ngodha na nyong'inyo
Nimekam bila ngodha na nyong'inyo
Basi sawa tukandane
Tumezane tufinyane
Niko na first aid kit iko na funnel
Moods zangu ziko KBC Channel
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Pata verified account
Utapata more likes without a doubt
Watasema uko after fame hiyo si clout
Arimis is your best friend saa ya drought
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo, nanukia cologne
Noti the Flow umekuja kutaka
Chief Inspector umekuja kutapa
Quarantine quarantine
Kondiko zimeisha hadi kwa canteen
Unajuwa Akothee
Niko na picha zake akipigwa ndolee
Tuache aibu za kudinyana kwa choche
Busta Rhymes alipatikana Oyole
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Alehandro, Noti
Si unajuwa we ni ndoto
Nikicheki hizi photo zako
Zinanipea mandoto
Mtoto Noti umenichanganya
Naota usiku ukinifanyaga, fanyanga!
Yea ukinikanyaga
Utanipenda kama boil ama karanga?
Senor Alehandro
You have a visitor, its Noti Flow
Amekam bila ngodha na nyong'inyo
Nimekam bila ngodha na nyong'inyo
Basi sawa tukandane
Tumezane tufinyane
Niko na first aid kit iko na funnel
Moods zangu ziko KBC Channel
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Pata verified account
Utapata more likes without a doubt
Watasema uko after fame hiyo si clout
Arimis is your best friend saa ya drought
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo, nanukia cologne
Noti the Flow umekuja kutaka
Chief Inspector umekuja kutapa
Quarantine quarantine
Kondiko zimeisha hadi kwa canteen
Unajuwa Akothee
Niko na picha zake akipigwa ndolee
Tuache aibu za kudinyana kwa choche
Busta Rhymes alipatikana Oyole
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to
Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera
[ Correct these Lyrics ]
Writer: David Benzema, Noti Flow
Copyright: Lyrics © Dapstrem Entertainment LLC, Songtrust Ave, Dapstrem Entertainment

Back to: Benzema David



Benzema David - Foto Moto Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Benzema David
Featuring: Noti Flow
Length: 3:06
Written by: David Benzema, Noti Flow
[Correct Info]
Tags:
No tags yet