Back to Top

Da veevo - Painkiller Lyrics

Da veevo - Painkiller Lyrics

Yo yo sheaa
Veevo yo yo

Nilimwambia nadai benz si shilingi
Nilimwambia nataka face staki mkidi
Nipate baze ninabonya kimaini niko na mara moja nitameza mara mbili

Alikam thru na beshte zake
Niliwacheki kwa window nikacheza na curtain
Nikavutia Benja acheze na giz giz
Already nilikuwa nimekam na mzinga mbili

Already nilikuwa nimekam na mzinga mbili peng ting cute face alicheza na mimi
Nikamshow niko jing siwezi mpiga miti
Nishamwambia ngware sana niko meeting

Nishamwambia ngware sana niko meeting
Flow ni kali sana joh walidhani ni stink team
Nilimshow siwezi pass hii ngwariti kwa brain nina vitu mingi shada ziko kwa wingi

Ulidhani joh ni love me najua joh ni quickie nadai kupiga high score buda joh kwa hii ligi

Oops sikujua ni mama x bibi, me ndio napleasure hii streets no biggie
Kila verse napiga maze joh ni risky niko nditni no biggie

All eyes on the price just hit me
All eyes on the price did hit me

Nilimwambia nadai benz si shilingi
Nilimwambia nataka face staki mkidi
Nipate baze ninabonya kimaini niko na mara moja nitameza mara mbili
Fyaa
Veevo
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Yo yo sheaa
Veevo yo yo

Nilimwambia nadai benz si shilingi
Nilimwambia nataka face staki mkidi
Nipate baze ninabonya kimaini niko na mara moja nitameza mara mbili

Alikam thru na beshte zake
Niliwacheki kwa window nikacheza na curtain
Nikavutia Benja acheze na giz giz
Already nilikuwa nimekam na mzinga mbili

Already nilikuwa nimekam na mzinga mbili peng ting cute face alicheza na mimi
Nikamshow niko jing siwezi mpiga miti
Nishamwambia ngware sana niko meeting

Nishamwambia ngware sana niko meeting
Flow ni kali sana joh walidhani ni stink team
Nilimshow siwezi pass hii ngwariti kwa brain nina vitu mingi shada ziko kwa wingi

Ulidhani joh ni love me najua joh ni quickie nadai kupiga high score buda joh kwa hii ligi

Oops sikujua ni mama x bibi, me ndio napleasure hii streets no biggie
Kila verse napiga maze joh ni risky niko nditni no biggie

All eyes on the price just hit me
All eyes on the price did hit me

Nilimwambia nadai benz si shilingi
Nilimwambia nataka face staki mkidi
Nipate baze ninabonya kimaini niko na mara moja nitameza mara mbili
Fyaa
Veevo
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Anthony Kipkoech
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Da veevo

Da veevo - Painkiller Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Da veevo
Language: English
Length: 2:04
Written by: Anthony Kipkoech
[Correct Info]
Tags:
No tags yet