Ya dunia ni mengi
Ya Dunia ni mengi nimeyashuhudia
Hayo mengine mengi nimeshazoea I say
Na wamesema mengi, mengi wameongea
Mimi sijali, mimi bado napepea
I don't want nobody thinking that I'm here to make a fuss
Im here to make good music, Here to make it last
Here to make my people know that we Ok
Watu wangu Nimebobea
Itabidi Wamezoea
Nina fly so high
Nina feeling nita touch the sky
Nimeswashinda wengi, Wengi walotokea
Vita vya kila siku nimeshazoea
Wasemaji ni wengi watendaji wakosa
Ndizi hali ya dunio tumeshazoea
I don't want nobody thinking that I'm here to make a fuss
Im here to make good music, Here to make it last
Here to make my people know that we Ok
Watu wangu Nimebobea
Itabidi Wamezoea
Nina fly so high
Nina feeling nita touch the sky