Back to Top

MUNGU SI MTU Video (MV)




Performed By: DEE MUIGAI
Language: English
Length: 3:59
Written by: DIANAHLUCY GITHUMBIH




DEE MUIGAI - MUNGU SI MTU Lyrics




MUNGU SI MTU

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Balamu katumiwa naye Balaki
Awalaani wanaisraeli
Mungu kageuza usemi wake
Akawabariki badala kulaani

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Maishani mwetu tumekutuna
Na watu wengi wa kutulaani
Mungu amesema hapana uchawi
Wala uganga juu ya israeli.

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Akibariki nani alaani
Akiinua nani atashusha
Akisema ndiyo nani akatae
Maana ni Mungu wa israeli.

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




MUNGU SI MTU

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Balamu katumiwa naye Balaki
Awalaani wanaisraeli
Mungu kageuza usemi wake
Akawabariki badala kulaani

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Maishani mwetu tumekutuna
Na watu wengi wa kutulaani
Mungu amesema hapana uchawi
Wala uganga juu ya israeli.

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Akibariki nani alaani
Akiinua nani atashusha
Akisema ndiyo nani akatae
Maana ni Mungu wa israeli.

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?

Mungu si mtu aseme uongo
Wala si mwanadamu ajute
Iwapo amesema hatalitenda?
Iwapo amenena hatafikiliza?
[ Correct these Lyrics ]
Writer: DIANAHLUCY GITHUMBIH
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: DEE MUIGAI

Tags:
No tags yet