Corona Corona Corona
Corona Corona Corona
Corona Virus Corona
Tutakumaliza na
Siku zako zitakwisha
Tutakumaliza na
Siku zako zitakwisha
Tutakumaliza
Tutakumaliza
Tutakumaliza Corona
Ewe Mtanzania
Jikikinge na Corona
Corona ni hatari
Corona inauaaa
Walinde uwapendao
Ilinde na Taifa
Corona Corona Corona
Corona Corona Corona
Corona Virus Coronaa
Tutakumaliza
Na
Siku zako zitakwisha
Tutakumaliza
Na
Siku zako zitakwisha
Mungu tunakuomba
Tunusuru na Corona
Mungu tunakuomba
Tuepushe na Corona
Ah ah ah ah na Corona
Wanafunzi Mashuleni
Warejee Eh Ah aah
Wazazi makazini
Warejee Ooh Ah Eh
Epuka Kugusana
Epuka misongamanoo
Tunaishukuru Serikali yetu
Wadau mbalimbaliiiiiiiiii
Red Cross na wauguzi wa afya
Tunawashukuru sanaaaa
Corona Corona Corona
Corona Corona Corona
Corona Virus Coronaa
Tutakumaliza
Na
Siku zako zitakwisha
Tutakumaliza
Na
Siku zako zitakwisha