Anhaaa
Pachekoo midundooo
Oh my god i like it
We tembeleee mchichaaaa ah
We pacheko mchicha maboga
Mchicha maboga
Mchicha maboga
Mchicha mabogaa
We maboga ni mboga
Mboga kama uoga mwili ukitaka kuogaa
Kumuomba mboga shoga
Muombe kama ugali umekata mboga kwa shoga ah
Mboga nadili nazo bado
Mboga za dunia mpaka mboga za majanii
Kudili na makolabo yakitanzania
Labda producer majanii
Anhaaa
Lolololo lolololo lololo looo
Lalalala lalalala lalalala
We tembeleee mchichaaaa ah
We pacheko mchicha maboga
Mchicha maboga
Mchicha maboga
Mchicha mabogaa
Oya sa twende kibaskeli kibaskeli
Fanya kuinyonga nafos kali
Nafos kali
Kama namuona kinye mkali
Kinye mkali
Panya kainyonga mali ya askari
Dogo askari
Waitee
Anhaaa
We maboga ni mboga
Mboga kama uoga mwili ukitaka kuogaa
Kumuomba mboga shoga
Muombe kama ugali umekata mboga kwa shoga ah
Jamaaah
Mboga mboga nadili nazo bado
Mboga za dunia mpaka mboga za majanii
Kudili na makolabo yakitanzania
Labda producer mamaa ah aaah
Chuma tembele mchichaaa
Ah
Unachuma mchicha maboga
Mchicha maboga
Kumbe mchicha maboga
Mchicha maboga
Anhaa
Aah
Weeeh
27-12 code deee
Mr designer hapaaa
Sikiaaa
Vipi nikupe ngenga mangu bebaa tu
Ukishindwa jichenge ukiweza njoo kati
Ukileta mboga friji mwenzie kabatii
Ukileta uoga ndo mwanzo wa varangatii
Mwanzoo wa fujooo
Nyie mbogaa ah
Kuna mboga mboga
Mnafanana nazo tu
Maliki liux chunga usifanane nao
Uchebe
Si hatufanani nao
Anhaa ah ah
Meneja salum tilamento
Meneja kapaya tilamento
T.I wa tilamento
Man water tilamento jamaa
Tilamento
Ah mbagala mabeganii
Mbagala mojaiyoooh
Dogo joti tilamento
China marangi tilamentow
Wajey tilaa ah
Brada tilaa
Anhaaa