Niseme nini Baba
Niseme nini Baba eh
Niseme nini Baba
Kwa yote nashukuru
Amani umenipa
Furaha umenipa
Umenijaza utulivu moyoni
Kwa yote nasema asante
Wanilinda usiku mchana
Wanivika wanilisha
Niseme nini mimi
Kwa yote nasema asante
Familia umenipa
Marafiki kanibariki nao
Niseme nini tena
Baba nasema asante
Mara ngapi nimekosea
Na bado ukanisamehe
Kwa Neema na Fadhili zako
Baba nasema asante
Haya ngapi umeniponya
Vita vingi umenipigania
Ya kusema ni mengi
Baba nashukuru
Nikienda waendana nami
Nikilala bado uko nami
Niseme nini mimi
Kwa yote, mimi nasema
Asante
Asante
Asante
Baba asante
Asante
Asante
Asante
Baba asante
Asante
Asante
Asante
Baba asante
Kimbilio
Kimbilio
Kimbilio
La maisha yangu
Kimbilio
Kimbilio
Kimbilio
La maisha yangu
Kimbilio
Kimbilio
Kimbilio
La maisha yangu
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe
Usifiwe