Kioo Kioo Kioooo
Kioo cha Nje
Kioo cha Nje
Usitazame
Kisikudanganye
Kisikudanganye
Wewe si Yule
Wanavyo kusema
Wanavyo kusema
Watesi wako
Wanavyo kusifu
Wanavyo kusifu
Rafiki Zako
Hawaja kujua
Hawaja kujua
Wewe ni Nani
Wewe ni Nani
Kioo Chako Ndilo Neno Lake
Tazama humo Asubuhi Jioni
Na Tena Wewe ni Mfano Wake
Thamani yako anaijua
Yeye Yeyee Yeee
Kioo
Wewe Ni wa Tofauti
Kioo
Kioo
Kioo
Wewe ni Thamani
Tutakapomwona
Tutabadirishwa
Kuwa Kama YeYeYe
Kama YeYeYe
Toka Utukufu
Kwenda Utukufu
Kama YeYeYe
Kama YeYeYe
Wewe ni Mshindi
Shujaa waweza
Kama YeYeYe
Kama YeYeYe
Usimtafute kushoto
Na kulia
Yupo Ndani Yako
Na wewe wewe
Weee
Wewe ni zaidi ya Mshindi
Kioo
Anakupenda siku zote
Kioo
Hajachoka mpaka sasa
Usiondoke mbele zake
Kiooo
Kioo cha Nje
Kisikudanganye
Muonekano wa Nje
Usikudanganye
Usikudanganye wewe
Eeeeh!
Utakaposoma utabadirishwa
Kuwa Kama YeYeYe
Kama YeYeYe
Kioo Kioo
Kiooo!!!