Niwe karibu karibu nawe
Mbingu halisi kifo sikweli
Nisikie malaika mbungu
Kwa umoja waimba
Halleluyah Mtakatifu
Mwenye enzi
Mungu Mkuu
Wastahili hakuna mwingine
Mwenye enzi Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Niwe Karibu Na myoyo wako
Na walimwengu Wala Sigiza
Palipo Kifo pawe Uzima
Na kwa umoja twaimba
Halleluyah Mtakatifu
Mwenye enzi Mungu Mkuu
Wastahili hakuna mwingine
Mwenye enzi Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Milima Ya yeyuka
Mapepo ya toroka
Linapo Tajwa Jina Lako Lenye Uweza
Hamna Guvu kuzimu wala aweza Sima
Mbele ya guvu na uwepo wako
Mungu Mkuuu Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Mungu Mkuu
Milima Ya yeyuka
Mapepo ya toroka
Linapo tajwa jina lako lenye uweza
Hamna guvu kuzimu wala aweza sima
Mbele ya guvu na uwepo wako
Mungu Mkuuu Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Mungu Mkuu
Halleluyah Mtakatifu
Mwenye enzi Mungu Mkuu
Wastahili hakuna mwingine
Mwenye enzi Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Halleluyah Mtakatifu
Mwenye enzi Mungu Mkuu
Wastahili hakuna Mwingine
Mwenye enzi Mungu Mkuu Mungu Mkuu
Mungu Wewe Ni Mungu Mkuu
Mungu Mkuu Mungu Mkuu Mungu Mkuu