Nimejipata kwa penz matataah
Oooh mashalaah masharlaah mm
Nimetakata penz lipo shataa wenye jealous itawaumaah mmh
Tumetoka mbali safar ya mapenz mi Nawewe ooh my baby my baby mm nitasema ninii
Kwa mara fili ukiniacha wewe ooh my baeby my baebee mm ayayaya hivi unanipenda kama ulivyo sema Jana Kwamba baby mimi mwenzako sielew
Hivi unanipenda kama ulivyo sema Jana
Baby mimi mwenzako
Baby umenikaa sipumuwi Sioni
Penzi lako nzito
Baby umenikaa simupumuwi sioni
Penz lako nzii nakupendaaaa
Ma Ex mkae kando huyu kiboko yenu moyo ndo kamesha uteka baby ongeza pamboo
Ongezaga mapamboo
Yetiba ya mwiliiii Hona na akiliii akinipiga mitoo
Nassau misoto ya kaleee hona na nawiriii nimebadiiliii nalewa chopo chopo mama ma full tu minyama nyama sio ma kandee
Kwataarifa yenu huyu mkimuiba siwaachi Salama kwa tarota yenu huyu Mki muhiba siwaachi Salama ayaya hivi unanipenda
Kama ulivyo sema jana Kwamba baby mimi mwenzako sielew hivi unanipenda kama ulivyo sema Jana baby mimi mwenzako
Baby umenikaaa sipumuwi sioni penz lako nzito baby nzito baby umenikaa sipumuwi sioni penz lako nziii nakupenda ayayay call. Me fighter fighter ma melody melody Judah boy