Toka chora namba saba
Kichwa chini haga juu Fatuma piga swala
Sugua kijana mpaka mjulu ibaki imeganda
Na ka huezi kaa na mamayako takataka
Toka toka tuzitoke
Toka toka tuzitoke
Tokateke
Kiuno kata kama wembe
Toka toka tuzitoke
Toka kama leo kumedhoka tononoka
Si ati nimesota soma
Ndio nipate locus macho ziko lit yani zinafocus
Kiodinare nitafute ukiwa na nare
Stori za sare niliachia wasomaji
Kwa clean ndani akina Kevo huniita dani
Najua sijali ooooh my G we ni nani
Nataka nizitoke mpaka chee
Ka ni mbleina staki ujinga usiniletee
Na kma Niko juu bac chini ningojee
We ni fun bro nipate stage nigotee eeeh
Nataka nikikuona unabend
Usilete pressure slow down tutabeng
After kuzitoka tutaenda kwenye trend
Alafu tutapanda tuingie gang train eeeh
Toka chora namba saba
Kichwa chini haga juu Fatuma pigs suala
Sugua kijana mpaka mjulu ibaki imeganda
Na ka huezi kaa na mamayako takataka
Toka toka tuzitoke
Toka toka tuzitoke
Tokateke kiuno kata kma wembe
Toka toka tuzitoke
Toka unaringa takataka
Mwenye chuki nkiingia unaondoka
Omoka kma gari ya mogoka
Nipeleke juu chini nibaki nimeogopa
Ondoka bac nimesha okoka
Inyonye polepole zibaki zimenitoka toka toka tuzitoke
Toka toka eeh
Nataka kukubamba sabasaba bila kamba
Wapi namba hii ni masaa sa naomba namna ya kupanda
Hii ni kma kujitupia lawama na sijamaliza ndo naanza
Si kujigamba lakini
Sponyo wamadem npate kwenye track tunatoka teke toka ghetto mpaka downtown
Mangoko wanadai mambo tamu tu ya koko
Ati bas bas bas bas
Bas bas
Toka chora namba saba
Kichwa chini haga juu Fatuma piga suala
Sugua kijana mpaka mjulu ibaki imeganda
Na ka huezi kaa na mamayako takataka
Toka toka tuzitoke
Toka toka tuzitoke
Tokateke kiuno kata kama wembe
Toka toka tuzitoke
Niliacha mihadarati Niko saved
Sa nikuzitoka na mangwati tunamake
Trukid Ig nazitoka niki ride
Instagram baby tuzitoke tujinice eeeeh
Ka beberu nimepanda cheki height
Mjulus inabaki imewaka najinice
Piga goti lamba lolo
Mpaka uskie eeeh eeeh eeeh
Tunapenda kujinice kuziride kuzitoka
Ka ukona case name your price sitasota
Ata ma odinare wanadeal na madonga
Msupa unaringa kula vitu pigwa sawdust
Toka chora namba saba
Kichwa chini haga juu Fatuma piga suala
Sugua kijana mpaka mjulu ibaki imeganda
Na ka huezi kaa na mamayako takataka
Toka toka tuzitoke
Toka toka tuzitoke
Tokateke kiuno kata kama wembe
Toka toka tuzitoke
Niliwacha mihadarati niko saved sa ni kuzitoka na mangwati tunamake