Back to Top

Foby - Kutamu Lyrics



Foby - Kutamu Lyrics
Official




Nilizoea sana kukaa nyumbani
Nikawaga sijui mambo club
Yanakuwaje
Kule na huko huku na huko
Wanangu asubuhi wana amkaga Na mabebe
I said let me go
Let me try
Cz i wanna know
Kwanini wang'ang'anie
What makes them go everyday
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala lala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club mara moja moja
Siyo mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini utambia nini
Leo nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini
Jamani mziki ni mtamu
Nyie club kunanoga
Na kuna vitoto vikaleeee
Ndo kinachonichanganya
Siku moja nimetoka kumoka
Akili ikanituma nikaruke tu Majoka
Nikakutana na toto la sniker
Kumbe kwao fresh baba ni zee la Moka
I was like how are u
Can u dance with me right now
She said that Yes i do
Come and dance with me right Now
Wakati nataka kuondoka
Kurudi nyumbani
Si nikajikuta sina hata mia
Kitoto si kikaropoka
Twende hotelini
Shika key endesha sijui hata njia
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club mara mojamoja
Siyo Mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini utambia nini
Leo nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikin
Jamani Mziki ni mtamu
Nyie club kunanoga
Na kuna vitoto vikaleee
Ndo kinachonichanganya
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Nilizoea sana kukaa nyumbani
Nikawaga sijui mambo club
Yanakuwaje
Kule na huko huku na huko
Wanangu asubuhi wana amkaga Na mabebe
I said let me go
Let me try
Cz i wanna know
Kwanini wang'ang'anie
What makes them go everyday
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala lala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club mara moja moja
Siyo mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini utambia nini
Leo nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini
Jamani mziki ni mtamu
Nyie club kunanoga
Na kuna vitoto vikaleeee
Ndo kinachonichanganya
Siku moja nimetoka kumoka
Akili ikanituma nikaruke tu Majoka
Nikakutana na toto la sniker
Kumbe kwao fresh baba ni zee la Moka
I was like how are u
Can u dance with me right now
She said that Yes i do
Come and dance with me right Now
Wakati nataka kuondoka
Kurudi nyumbani
Si nikajikuta sina hata mia
Kitoto si kikaropoka
Twende hotelini
Shika key endesha sijui hata njia
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club mara mojamoja
Siyo Mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikini utambia nini
Leo nimekuwa gwiji
Club bar zote nashinda mimi
Nakesha na watoto wa mjini
Wavaa vibikin
Jamani Mziki ni mtamu
Nyie club kunanoga
Na kuna vitoto vikaleee
Ndo kinachonichanganya
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Frank Ngumbuchi
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Foby



Foby - Kutamu Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Foby
Length: 3:30
Written by: Frank Ngumbuchi
[Correct Info]
Tags:
No tags yet