Back to Top

Fresh Jumbe - Hasidi Lyrics

Fresh Jumbe - Hasidi Lyrics

Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe
Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe

Dunia hii si mbaya jamani bali vituko ni vyetu binadamu wenyewe
Mungu katuumba sisi binadamu wake na kila mmoja wetu akampa kipaji chake
Ili ajisaidie katika maisha yake na ili afanikiwe katika maisha yake iiih

Inashangaza sana ah ah watu fulani huwa hawapendi hata maendeleo ya wenzao
Wanasahau kabisa aliyenipa mimi ndiye huyo huyo huyo huyo uuh aliyewanyima wao
Na bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi ukilalia mlango wazi utaibiwa wewe iiih

Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Wacha chuki binafsi wewe wewe
Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe - Hasidi wewe
Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Hasidi wewe

Mafanikio yako wazi kaka kwa yeyote muhangaikajie
Mambo mazuri yako wazie kwa yeyote mchakarikajie
Mafanikio yangu ni matokeo ya juhudi zangu uuh
Na mafanikio yako yatakuja kwa juhudi zaaako

Chuki zako kwangu ni bure
He ni bure tu
Chuki zako kwangu ni bure
He ni bure tu
Chuki zako kwangu ni bure
He ni bure tu
Chuki zako kwangu ni bure
He ni bure tu

Nimefanikiwa kutokana na juhudi zangu
Wala sio njia nyingine unazozifikiria wewewe

Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Ah yayayayah!

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Fresh Jumbe - Hasidi Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 3:55
Written by: Fresh Mkuu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet