Back to Top

Fresh Jumbe - Mwanambuzi Lyrics

Fresh Jumbe - Mwanambuzi Lyrics

Watoto wazuri hucheza miziki ya namna hii hehehehee

Kinyuli nyulika mwanangwa wa Jumbe kavaa nguo mbili
Yatatu kajifunika aliye juu aondoe
Kinyuli nyulika mwanangwa wa Jumbe kavaa nguo mbili
Yatatu kajifunika aliye juu aondoe

Mwanambuzi meeme-Kamlilia mwanawe
Kamwambia kwera-Kwera mlima una mawe
Mwanambuzi meememei-Kamlilia mwanawe
Kamwambia kwera-Kwera mlima una mawe
Mwanambuzi meeme-Kamlilia mwanawe
Kamwambia kwera-Kwera mlima una mawe
Moto unawakawaka na wakuuzima haonekani Hahahahaha uuh

[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Fresh Jumbe - Mwanambuzi Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 3:06
Written by: Fresh Mkuu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet