Back to Top

Fresh Jumbe - Tuhifadhi Mazingira Lyrics

Maendeleo yetu, yanasababisha
Uharibifu wa Mazingira yetu

Wacha kukata miti we
Mazingira yetu - Weh - tunayaharibu - Wacha- na dunia yetu inateketea
Wacha kuchoma misitu we
Mazingira yetu - Tusiue wanyama - tunayaharibu - Tusichafue bahari yooh oh - na dunia yetu inateketea
Wacha kuuwa wanyama weh

Angalieni sasa ardhi yetu inakuwa kame
Dunia yetu inageuka jangwa kama kule Sudan
Kule Sahara na hapa Shinyanga Tanzania

Acha kukata misitu weh

Mazingira yetu uuh tunayaharibu sisi wenyewe
Kwa kukata miti ovyo ovyo, kuchoma misitu
Na kuhabu vianzio vya maji

Wacha uvuvi wa mabomu weh
Mazingira yetu - Tusichome misitu - tunayaharibu - Tusikate miti ovyo ovyo - na dunia yetu inateketea
Wacha kuchafuwa bahari weh
Wacha!
Mazingira yetu tunayaharibu na dunia yetu inateketea

Sisi wanaadam ndio wenyewe watawala wakuu wa mazingira tuliyonayo
Lakini inashangaza sana kuona kwamba sisi ndio tulio mstari wa mbele katika kuyaharibu mazingira hayo

Wacha kukata miti weh tutakosa nvua

Matokeo yake tunasababisha mmomonyoko wa ardhi na kupoteza rutuba
Magonjwa umasikini na njaa na sisi wenyewe tutageuka kuwa wakimbizi wakimbi wa mzingira
Sasa tujiuze tutaishi vipi

Wacha kuchoma misitu weh

Inatubidi tujitolee muhanga katika kuyahifadhi mazingira yetu weeh eeh eeh eeh eeh
Kwa kupanda miti mingi sana aah aah aah aah aah
Tusikate miti tusichome misitu tusiue wanyama jamani ni mbaya sana
Tuache majaribio ya mabomu ya sumu

Mazingira yetu - Sumu - tunayaharibu na dunia yetu inateketea
Inatekea inateketea dunia yetu inateketea
Mazingira yetu - Sumu - tunayaharibu - Sumu - na dunia yetu inateketea
Wacha kukata miti weh
Sumu
Mazingira yetu
Tuyahifadhi eenh!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Fresh Jumbe - Tuhifadhi Mazingira Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 5:25
Written by: Fresh Mkuu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet