Back to Top

Fresh Jumbe - Uhuru Wa Mapenzi Lyrics

Fresh Jumbe - Uhuru Wa Mapenzi Lyrics

Mama watoto, kaa chini nikuelezee demokrasia ya mapenzi mmmmmmmh
Mapenzi ni kupendana myoyoni kuingizana imani kuaminiana ma
Machoni kuangaliana midomokubusiana ya wawili kukumbatiana

Shida kusaidiana ukweli kuambiana maraha kupeana hiyo ndiyo demokrasia
Demokrasia ya mapenzi

Sera zako nilizikubali na sera zangu ukazikubali na leo hii tumechaguana
Tuongoze mapenzi yetu Nipe nikupe hehehee demokrasia-mapenzi motomoto

Mpenzi leo naahidi niko hapa kwa ajili yako
Naketi mbele yako mama fanya lolote utakalo uuh

Ninaishi kwa ajili yako ninapumua kwa ajili yako
Nafanya kazi kwa ajili yako niko tayari kuwa mtumishi wako mama

Popote uendapo lolote ufanyalo nitakuwa nyuma yako mama
Nataka ufaidi matunda matunda ya demokrasia ya mapenzi

Na kwa yote hayo nataka na wewe unipe uhuru
Uhuru wa kusema uhuru wa kufanya na kuamuwa kuhusu mapenzi yetu

Demokrasia ya mapenzi, sema utakalo, nipe nitakacho hehehee.. ayaya - Tiba Aweso mmh

Demokrasia demokrasia demokrasia
Demokrasia demokrasia demokrasia ya mapenzi

Bob C S C

Kungugu Kitanda milima

Mti mkavu

Kisiki cha muhingo - Buyuni Kitopeni hahahahaa ayaya

Kuntwa supu kula makongoro hehee

Ulitakalo kwangu uniombe nami nitakupatia
Nilitakalo kwako nitakuomba tafadhali nawe unipatie maah

Sema ukipendacho sema ukitakacho nambie
Unipe nikinywacho unipe nikilacho hiyo ndiyo demokrasia

Ayayah Bob C S C
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Writer: Fresh Mkuu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Fresh Jumbe

Fresh Jumbe - Uhuru Wa Mapenzi Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: Fresh Jumbe
Length: 6:41
Written by: Fresh Mkuu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet