Back to Top

Natembea Video (MV)




Performed By: Geofrey Maunde
Length: 3:42
Written by: Geofrey Maunde
[Correct Info]



Geofrey Maunde - Natembea Lyrics
Official




Uh uh uh ah nanahan
Uh uh uhhhhhhh Ananannaah
Uhu uhhhuhhh
Maji yapo shingoni
Bora ya Musa alishika fimbo
Sina kitu mkononi
Nahitaji huruma
Polepole polepole
Ndio wangu mwendo polepole
Kuna giza kubwa mbele
Baba I don't know
Wengine wasafiri mbali wapewe dawa
Ila mimi naamini kwako niko salamaa
Tena machozi yamekua jadi
Kulia kulia sina pakwenda
Nikapiga hodi nikafunguliwa
Sawa Natembea Natembea
Ila nitafika siko Mwenyewe
Siko Mwenyewe
Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe
Nipo na wewe Na wewe
Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe
Mwenyewe nipo na wewe
Taaa lalalaaaah
Taaa lalalaaaah
Umesema mwenye haki wako
Ataishi kwa imani
Kwa imani iiiiiiiiiii
Mimi ni mwenye haki wako
Siwazi ya kesho
Maana ya kesho yatajisumbukia ah ahah
Maana ni wewe unaenifanya
Niwe imara kama mlima sayuni
Nikikutumainia
Maana tumaini langu lipo mikononi mwako weeh
Tena wewe niuleeee ule mwamba
Mwamba wa maji ya uzima
Natembea Natembea ila nitafikaaaaa sipo mwenyewe
Sipo mwenyewe
Wewe ni maji ya uzima sitaona kiu tena
Sipo mwenyewe
Nipo na wewe majiiiiii
Na wewe
Natembea Natembea
Ila nitafikaaa sipo mwenyewe
Nipo na wewe
Eh yeah
Uh uh uh Anhnanaanah
Uh uhuuuu Uh uh uh
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




Uh uh uh ah nanahan
Uh uh uhhhhhhh Ananannaah
Uhu uhhhuhhh
Maji yapo shingoni
Bora ya Musa alishika fimbo
Sina kitu mkononi
Nahitaji huruma
Polepole polepole
Ndio wangu mwendo polepole
Kuna giza kubwa mbele
Baba I don't know
Wengine wasafiri mbali wapewe dawa
Ila mimi naamini kwako niko salamaa
Tena machozi yamekua jadi
Kulia kulia sina pakwenda
Nikapiga hodi nikafunguliwa
Sawa Natembea Natembea
Ila nitafika siko Mwenyewe
Siko Mwenyewe
Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe
Nipo na wewe Na wewe
Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe
Mwenyewe nipo na wewe
Taaa lalalaaaah
Taaa lalalaaaah
Umesema mwenye haki wako
Ataishi kwa imani
Kwa imani iiiiiiiiiii
Mimi ni mwenye haki wako
Siwazi ya kesho
Maana ya kesho yatajisumbukia ah ahah
Maana ni wewe unaenifanya
Niwe imara kama mlima sayuni
Nikikutumainia
Maana tumaini langu lipo mikononi mwako weeh
Tena wewe niuleeee ule mwamba
Mwamba wa maji ya uzima
Natembea Natembea ila nitafikaaaaa sipo mwenyewe
Sipo mwenyewe
Wewe ni maji ya uzima sitaona kiu tena
Sipo mwenyewe
Nipo na wewe majiiiiii
Na wewe
Natembea Natembea
Ila nitafikaaa sipo mwenyewe
Nipo na wewe
Eh yeah
Uh uh uh Anhnanaanah
Uh uhuuuu Uh uh uh
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Geofrey Maunde
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid


Tags:
No tags yet