Wimbo wangu, wimbo wangu, wimbo wangu, wimbo wangu, wimbo wangu
Nitaimba wimboo huu wakatii wa matesoo, nitaimba wimbo huu wakatii wa maguuumu
Wimbo waushindiii
Unaonipa nguvuu yaku sogea mbele
Wimbo wakunifutaa machoozii
Wakatii watabu zangu
Nitaimba wimboo huu uu
Nitaimba wimboo huu uu uuhh
Nitaimba wimboo huu uu uuhh uuhhh uuhhh
Nitaimba wimboo huu uu
Wimbo wa sifaa
Wimbo wa sifaa
Wimbo wa sifaa aaah aaah
Wenye kupendeza Mungu
Wimbo wa sifaa (Eeeeh eeeeeeeeh)
Wimbo wa sifaa
Wala sito nung'unikaa
Wimbo wa sifaa aaah (Hata katika magumuuu) aaah
Wimbo wangu
Faraja ya kweli
Wimbo wangu
Amani ya kweli
Wimbo wangu
We Yesu nii
Wimbo wa sifaa (Oooh oooooh)
Wimbo wangu
Yesu niii
Wimbo wangu
Afya njema nii
Wimbo wangu
Wimboooo uu uuhh
Wimbo wa sifaa aaah
Yesu ni wimbo uletaoo faraja moyonii wakatii wa masikitiko yanguu
Tena ni wimbo unipaoo nguvuu uuhh wakatiii wa huzunii nyingii
Moyonii ninapoo bebaa majonzii
Hauniachii unakua na mimi
Moyo wangu unapo beba maumivu (yeehh)
Hauniachii unakua na mimii
Yesuu ni wimbo ooh hooo oohhoo
Wimbo uletao furaha moyoniii
Yesuu ni wimbo ooh hoo ooh
Uletaoo farajaa rohonii
Yesu wimbo wangu
Wimbo wa sifaa
Wimbo wa sifaa (Wimbo wa sifaa)
Wimbo wa sifaa aaah (Yesu Niii) aaah
(Nitaimba milelee)
Wimbo wa sifaa
Wimbo wa sifaa (Wimbo wanguu)
Wimbo wa sifaa aaah (Babaaaa) aaah
Wewe Yesu ni
Wimbo wangu
Amani yako ni
Wimbo wangu
Jina lako ni
Wimbo wangu
(Ooooh)
Wimbo wa sifaaa
Nguvu yako ni
Wimbo wangu
Wimbo waanguuu
Wimbo wangu
Wimbo wanguuuu
(Ooooh Ooooh Ooooh)
Wimbo wa sifaaa (Ooooh)
Nakiri ushindi
Wimbo wangu
Wimbo wa ushindii
Wimbo wangu
Yesu wanguuu
Wimbo wa sifaaa (Wimbo wangu)
Wimbo wangu, Wimbo wangu, Wimbo wangu