God, we bless your name
You are worthy eeeeh
Tunakuinulia sifa
Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mkuu wa vita...aaah
Unastahili Eeh
Tunapaza sauti zetu leo
Twainua mikono yetu
Ibada yetu ni kwako
Wewe wastahili...
Tunapaza sauti zetu leo
Twainua mikono yetu
Ibada yetu ni kwako
Wewe wastahili...
Pokea....aaah
Ibada yetu
Pokea....aaah
Ibada yetu
(Bwana wa mabwana)
Pokea....aaah
Ibada yetu
(Mfalme wa wafalme)
Pokea....aaah
Ibada yetu
Ibada yetu ni kwako
Wewe Wastahili
Tunakusujudu
Tunakuabudu
Wewe ndiwe Mungu...uuh
Tunakuishia
Pokea....aaah
Ibada yetu
(Pokea ibada bwana)
Pokea....aaah
Ibada yetu
(Maana Hakuna Kama wewe)
Pokea....aaah
Ibada yetu
(Mfalme ... pokea...aaah)
Lord we bless your name
As we lift you up
As we give you glory
As we give you honour
You are worthy
To receive the glory
Mana unastahili
Hakuna jina kama lako
Hakuna mfalme kama wewe
Wewe Ni mkuu
Wewe ni Mungu
Wewe ni Bwana
Mamlaka....
Utukufu...
Ni kwako...
Ewe Bwana
Mamlaka....
Utukufu...
Ni kwako...
Ewe Bwana
Mamlaka....
Utukufu...
Ni kwako...
Ewe Bwana
Mamlaka....
Utukufu...
Ni kwako...
Ewe Bwana
Kwako ... Ewe Bwana
Kwako ... Ewe Bwana
Kwako ... Ewe Bwana
Kwako ... Ewe Bwana
You're worthy
You're worthy
You're worthy
You're worthy
You're holy
You're holy
You're holy
You're holy
You're mighty
You're mighty
You're mighty
You're mighty
You're mighty
You're mighty
You're mighty
You're mighty
Pokea....aaah
Ibada yetu
Pokea....aaah
Ibada yetu
Pokea....aaah
Ibada yetu
Pokea....aaah
Ibada yetu
Ibada yetu ni kwako
Wewe Wastahili