Back to Top

JAQUARE MBUL WIZLEE - FAKE PASTORS Lyrics

JAQUARE MBUL WIZLEE - FAKE PASTORS Lyrics

Sina
Sina bifu nao
Bado
Nakomaa nao

Aanh usiponinda wewe atanipenda Mungu wangu,
Najiamini mwenyewe katika maisha yangu,
Ili usichelewe kwanza wahi rafiki yangu
Ukiweza kumaa mwenyewe me nakomaa pekeyangu

Hawa mapaster Wala Sina bifu nao,
Ila nasema nitakomaa na wao
Makanisa yote wamegeuza ya kwao
Hata kanisani kwenda wanakalisha vikao
Unapokwenda nenda chunga usisahau kurudi
Na pasta usiponipenda hata Mimi sikupendi
Wengi wenu ni walafi wa madaraka
Na mnakusanyaga watu ilimradi mpate kadaka
Ukianguka leo kesho utanyanyuka
Kumbuka usiende mbio ukienda mbio utadondoka.
Dini za Leo eti waumini wanatafutwa
Na Wengine kwa video wanatangaza wamefufuka
Cha msingi wajaze watu kanisani utawakuta

Ah no
Sina papara
No me Sina haraka
Siendi kwa fake pastor mnyamwezi nitafuga rastaThey just tell you what they want you to hear
But not what God has inspired us to hear
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Nimetoka mbali (Nimetoka mbali)
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Me nasaka Mali (Me nasaka mali)

Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
God is one

Wanataka tuamini wanachosema,
Wakati hawatupi hata punzi ya kuhema,
Fake pastors Wala sio watu wema
Ukienda church mwombe Mungu kila jema
Wanajitakatisha Kwa maneno Yao
Wanawaunganisha na kafara madhabahu
Vyako ni vyao ila vyao ni vyakwao
Wanakunywa kamnyweso Ili wa preach si ndo zao
Wanahukumu kama wao ndo pilato
Wanataka sadaka uliyoipata kwa jasho,
Ikiwa Sunday watakuja mpaka kwako
Na kesho ukisafiri wanakula bibi yako
Na Yeye pastor analewa kwa kanisaeh
Na yeye pastor kumbe ni mwizi kabisa
Anapreach same words kwenye Misa
Kila siku fake pastors wamejaa kwa maisha

Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Nimetoka mbali (Nimetoka mbali)
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Me nasaka Mali (Me nasaka mali)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

Swahili

Sina
Sina bifu nao
Bado
Nakomaa nao

Aanh usiponinda wewe atanipenda Mungu wangu,
Najiamini mwenyewe katika maisha yangu,
Ili usichelewe kwanza wahi rafiki yangu
Ukiweza kumaa mwenyewe me nakomaa pekeyangu

Hawa mapaster Wala Sina bifu nao,
Ila nasema nitakomaa na wao
Makanisa yote wamegeuza ya kwao
Hata kanisani kwenda wanakalisha vikao
Unapokwenda nenda chunga usisahau kurudi
Na pasta usiponipenda hata Mimi sikupendi
Wengi wenu ni walafi wa madaraka
Na mnakusanyaga watu ilimradi mpate kadaka
Ukianguka leo kesho utanyanyuka
Kumbuka usiende mbio ukienda mbio utadondoka.
Dini za Leo eti waumini wanatafutwa
Na Wengine kwa video wanatangaza wamefufuka
Cha msingi wajaze watu kanisani utawakuta

Ah no
Sina papara
No me Sina haraka
Siendi kwa fake pastor mnyamwezi nitafuga rastaThey just tell you what they want you to hear
But not what God has inspired us to hear
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Nimetoka mbali (Nimetoka mbali)
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Me nasaka Mali (Me nasaka mali)

Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
God is one

Wanataka tuamini wanachosema,
Wakati hawatupi hata punzi ya kuhema,
Fake pastors Wala sio watu wema
Ukienda church mwombe Mungu kila jema
Wanajitakatisha Kwa maneno Yao
Wanawaunganisha na kafara madhabahu
Vyako ni vyao ila vyao ni vyakwao
Wanakunywa kamnyweso Ili wa preach si ndo zao
Wanahukumu kama wao ndo pilato
Wanataka sadaka uliyoipata kwa jasho,
Ikiwa Sunday watakuja mpaka kwako
Na kesho ukisafiri wanakula bibi yako
Na Yeye pastor analewa kwa kanisaeh
Na yeye pastor kumbe ni mwizi kabisa
Anapreach same words kwenye Misa
Kila siku fake pastors wamejaa kwa maisha

Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Nimetoka mbali (Nimetoka mbali)
Maisha ni safari (Maisha ni safari)
Me nasaka Mali (Me nasaka mali)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
Kuna siku Moja (One day one day)
Nitapata money (Money money)
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Moses Bulongo
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

JAQUARE MBUL WIZLEE - FAKE PASTORS Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: JAQUARE MBUL WIZLEE
Language: Swahili
Length: 3:47
Written by: Moses Bulongo

Tags:
No tags yet