Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuinua
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuimbia
Nina mpenzi ndugu zangu anipenda upendo wa kweli
Upendo wake ni wa dhati wala hauelezeki
Amenifuata miaka mingi nikijichafua na dhambi
La ajabu Ye hakuchoka mwisho akanikomboa kifungoni
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuinua
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuimbia
Aliniita kwa upendo mmh kanipa maneno matamu
Kanionyesha na mapenzi nikazidi mringia
Hudhihirisha pendo lake Baba damu yake akaimwaga
Anioshe mi mwenye dhambi kisha akaniweka huru Mungu wangu
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuinua
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuimbia
Mimi nilikuwa mchafu vidonda majeraha mengi
Uvundo wa dhambi katanda wala nisingependeka
Akaosha vidonda vyangu akanitosa kwa hiyo damu
Isiyo penya na uovu mwisho 'kanivisha pete ya wokovu
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuinua
Halleluyah halleluyah halleluyah halleluyah
Halleluyah halleluyah mimi nitamuimbia
Halleluyah halleluyah mimi nitamuimbia