Sina ofu na shaka maana najuwa Mungu upo
Kama Ulivyo mlinda danieli katika lile pango la simba
Namimi najuwa Bwana utanitetea
Katika Maisha yangu yahunyonge wa hapa duniani nihokowe baba Na aduhi zangu zote
Wanaho winda Nafsi Yangu baba Mimi Nahomba Unihokowe ohh Wema
Wema wako Wa ajabu kwangu
Ulinzi wako Wanitosha mimi
Ukuhu wako Wa Ajabu kwangu
Sito acha kuku abudu bwana wewe ndo tegemeho Langu
Sito acha kukusifu Bwana Mkombombozi wangu Mimi
Eshima na mamlaka nizako Elohim
Sito acha kukusifu Bwana Mkombombozi wangu Mimi
Aduhi wajapo jipanga aah
Kupigana nami
Gongo lako nafimbo yako vyani ongoza mimi
Maana Najuwa we ndo mlinzi Wangu
Sina shaka sina woga najuwa neema yako iko juu yangu
Ohhh WEMA