Back to Top

Karis - Najipenda Pia Lyrics



Karis - Najipenda Pia Lyrics
Official




Yeah, aah
(Mo-mo thank God you're here)
Yeah, yeah
Skiza, skiza, aah
Siezi kumaliza form inajipa
Walinidai siezi score niwe keeper
Sasa magoal nikiset wanalia
Ukiomoka usiniforget pia
Mkwanja haijakam, Bado Najipa
Future ndio mimi tu nafikiria
Manzi anahit na mi sijamlipa
Kiasi anahit nikaa nimemlipa
Fame ikikam itabidii uelewe
Mi ni msanii jooh wewe ni mwere
Jua inakam unapiga kelele
Mvua ikikam utapiga kelele
Safisha rada baada ya kuchoma
Maisha ya youth jooh ni Maruana
Ka nikuparty ni juzi Hadi Jana
Ukedi na jaba ndio zimejazana
Sio jazanda, reality sana
Kwangu hizi vices zote ni lawama
Nikitokea namada marapper
Eat you for lunch ni ka ni shawarma
I'm ready to eat ni Ka mi ni Boina
Hamunioni Joh mi ni John Cena
Time ya kufear na kulia ndio sina
Manzee nakurada najipenda pia
Ha ha
Najipenda pia
Real
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Yeah, aah
(Mo-mo thank God you're here)
Yeah, yeah
Skiza, skiza, aah
Siezi kumaliza form inajipa
Walinidai siezi score niwe keeper
Sasa magoal nikiset wanalia
Ukiomoka usiniforget pia
Mkwanja haijakam, Bado Najipa
Future ndio mimi tu nafikiria
Manzi anahit na mi sijamlipa
Kiasi anahit nikaa nimemlipa
Fame ikikam itabidii uelewe
Mi ni msanii jooh wewe ni mwere
Jua inakam unapiga kelele
Mvua ikikam utapiga kelele
Safisha rada baada ya kuchoma
Maisha ya youth jooh ni Maruana
Ka nikuparty ni juzi Hadi Jana
Ukedi na jaba ndio zimejazana
Sio jazanda, reality sana
Kwangu hizi vices zote ni lawama
Nikitokea namada marapper
Eat you for lunch ni ka ni shawarma
I'm ready to eat ni Ka mi ni Boina
Hamunioni Joh mi ni John Cena
Time ya kufear na kulia ndio sina
Manzee nakurada najipenda pia
Ha ha
Najipenda pia
Real
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Duncan Nyamu
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Karis



Karis - Najipenda Pia Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Karis
Language: English
Length: 1:21
Written by: Duncan Nyamu
[Correct Info]
Tags:
No tags yet