Ka' kuna sherehe wajua mi sikosi
Maridadi kama kawa 'toka utosi
Nyota navyong'aa, huu mng'aro kwenye ngozi
Nashtua, nasumbua, mchokozi
Ka' kumeboesha nafufua mkombozi
Najitokeza chali yako ana machozi
Hakuna foleni 'kiwa hizi nd'o mapozi
Usiku ni wetu... mimi, mwezi na kikosi
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
'Partyafterparty' toka Alhamisi
Mama yuauliza "Hili rinda ama kamisi"
Nguo mitumba ila shape ni halisi
Chunga chali yako ashaniita lazizi
Cheche tele, bado sijashika chupa
Wazuri tele, ni vigumu kuchagua
Kiuno kiachilie, densi kuchafua
Hakuna shida muziki hutotatua
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
Daraja daraja, sakata, hili daraja
Daraja daraja, sakata, hili daraja
Daraja daraja, sakata, hili daraja
Daraja daraja, sakata, hili daraja
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
Disko balaa, DJ balaa, Mwili balaa, Mahaba balaa
Usiku ni wetu... mimi, mwezi na kikosi
Usiku ni wetu... mimi, mwezi na kikosi
Usiku ni wetu... mimi, mwezi na kikosi
Zilizala yaja, hakuna kulala
Zilizala yaja, hakuna kulala
Zilizala yaja, hakuna kulala
Zilizala yaja, hakuna kulala
Usiku kaleta leta leta balaa
Usiku kaleta leta leta balaa
Usiku kaleta leta leta balaa
Usiku kaleta leta leta balaa