Mzee wa siku
Muweza yote
Mfalme wa waflame
Muumba ulimwengu
Huhitaji chochote ili uwepo
Baba wa milele
Watuwazia mema siku zote
Nani kama wewe
Mtakatifu
Wewe ni Mungu
Twaimba Hosana
Kwako Bwana
Huhitaji chochote ili uwepo
Baba wa milele
Watuwazia mema siku zote
Nani kama wewe