Asubuhi na mapema
Aamka naushukuru
Angalau umepewa
Siku nyingine
Ya kutimiza ndoto zako
Usilalamike
Kukosea sio makosa
Makosa usipojifunza wewe
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante kwa macho
Mikono na miguu
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante
Simama mbele usirudi nyuma
Unaweza kua
Unaweza kua
Simama mbele usirudi nyuma
Unaweza kua
Unaweza kua
Maneno maneno yasikurudishe nyuma
Hatakama huoni
Wako wengi wanaokutazama oh yes
Simama utainua wengi
Kwa pamba ziba masikio
Usisikilizee yasio ya msingi
Pigania sauti ndogo inayosema naweza
Ukishaweza wengi utawafunza
Kua kuweza uanza kwa kujiamini
Pigania sauti ndogo inayosema naweza
Ukishaweza wengi utawafunza
Kua kuweza uanza kwa kujiamini
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante kwa macho
Mikono na miguu
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante
Simama mbele usirudi nyuma
Unaweza kua
Unaweza kua
Simama mbele usirudi nyuma
Unaweza kua
Unaweza kua
Usivunjike moyo kesho utakua juu
Usikate tamaa
Utapata majibu
Usivunjike moyo kesho utakua juu
Usikate tama
Simama mbele usirudi nyuma
Yah yah yah yah
Simama mbele usirudi nyuma
Yah yah yah yah
Simama mbele usirudi nyuma
Yah yah yah yah
Simama mbele usirudi nyuma
Yah yah yah yah
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante kwa macho
Mikono na miguu
Kila siku sema asante kwa afya
Kila siku sema asante kwa nguvu
Kila siku sema asante
Simama mbele usirudi nyuma
Ah ah
Unaweza kua
Unaweza kua