Back to Top

Kidwilly - Lazima Kieleweke Lyrics



Kidwilly - Lazima Kieleweke Lyrics




I'm a seem seemer, Badman! mi ni ka mluhya na ki-sima
Wananiita john ju mi cena, tafash unless unicross ndio mi usin ah
Ask your gang mi ni star, Gangster
Son of the king boy i'm that son
So kama jo ni doh walete cash cash
Juu life ni tamu ukiwa kwa range, sio datsun
""Kidwilly jaza mwili na matatoo""
Mi nataka nijaze jiji na matatu, ndio skuizi niko busy kwa mataa tu
Za stage, ndio nisirudi kupanda matatu

Heh! aiyaya yaya
Lazima kieleweke man dem mi nachafua
Heh! aiyaya yayı
Lazima kielewekeee chafua!

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!

Mi nimKONSHENS nilifanya your girl a bubble
So special mtaani wananiita mavado
Na bado! niliacha ma show za vako
Ambia promoter tutamgeuzia style ya bado
Ha! na mi uanga biz juu ya paper
Nishashika riiz na ketepa
So mnajua after biz niko paper's
Juu ngoma zishashika toka D mpaka theqa
See me, me,me nakimbizanga doh
See me, me, me, i'm a real paper chaser
See me, me, me, kwa tapage za gazo
See me, me, me, got the news paper face ah!

Heh! aiyaya yaya
Lazima kieleweke man dem mi nachafua
Heh! aiyaya yayı
Lazima kielewekeee chafua!

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!

Leta deal deal, tuna piga inago
Leta deal deal, tunazika one time..
Leta deal deal, tuna piga inago
Leta deal deal, tunazika one time..

One time, say one time ka deal kanapigwa deh
I say ting seh, deh ting seh, madem wanawika deh *2

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.




I'm a seem seemer, Badman! mi ni ka mluhya na ki-sima
Wananiita john ju mi cena, tafash unless unicross ndio mi usin ah
Ask your gang mi ni star, Gangster
Son of the king boy i'm that son
So kama jo ni doh walete cash cash
Juu life ni tamu ukiwa kwa range, sio datsun
""Kidwilly jaza mwili na matatoo""
Mi nataka nijaze jiji na matatu, ndio skuizi niko busy kwa mataa tu
Za stage, ndio nisirudi kupanda matatu

Heh! aiyaya yaya
Lazima kieleweke man dem mi nachafua
Heh! aiyaya yayı
Lazima kielewekeee chafua!

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!

Mi nimKONSHENS nilifanya your girl a bubble
So special mtaani wananiita mavado
Na bado! niliacha ma show za vako
Ambia promoter tutamgeuzia style ya bado
Ha! na mi uanga biz juu ya paper
Nishashika riiz na ketepa
So mnajua after biz niko paper's
Juu ngoma zishashika toka D mpaka theqa
See me, me,me nakimbizanga doh
See me, me, me, i'm a real paper chaser
See me, me, me, kwa tapage za gazo
See me, me, me, got the news paper face ah!

Heh! aiyaya yaya
Lazima kieleweke man dem mi nachafua
Heh! aiyaya yayı
Lazima kielewekeee chafua!

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!

Leta deal deal, tuna piga inago
Leta deal deal, tunazika one time..
Leta deal deal, tuna piga inago
Leta deal deal, tunazika one time..

One time, say one time ka deal kanapigwa deh
I say ting seh, deh ting seh, madem wanawika deh *2

Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
Lazima Kieleweke!
Lazima Kieleweke man dem mi na chafua!
[ Correct these Lyrics ]
Writer: willys kihumba
Copyright: Lyrics © MASTERED AND DAPPER ROYAL ENTERTAINMENT

Back to: Kidwilly



Kidwilly - Lazima Kieleweke Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Kidwilly
Length: 3:48
Written by: willys kihumba
[Correct Info]
Tags:
No tags yet