Mungu anaweza yeye ni baba
Yeye anaponya JehovahRapha
Amenitendea mengi sana maishani mwangu
Alpha and Omega beginning and the end Ooh
There is no one like you Lord
There is no one like you Lord
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni baba wangu
Wewe ni baba wangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh
Creator of heaven and earth
I will sing all the praise of your hands
Kwa upendo wako umetimiza ahadi zako
Kwa neema yako umenifikisha mahali apa
I am so grateful, Lord you never lie
I am so grateful, Lord you never lie
There is no one like you Lord
There is no one like you Lord
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Tena ni baba wangu
Wewe ni baba wangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Usifiwe pokea sifa zangu
Usifiwe pokea sifa zangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Tena ni baba wangu
Wewe ni baba wangu
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni Mungu wangu
Tena ni baba wangu
Wewe ni baba wangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu
Yahweh usifiwe pokea sifa zangu