Kuna njia mingi za kusema I love you
Wengine vitendo husema mamu
Walio mbali hupiga hata simu
Usiharakishe kupenda mamu
Kuna njia mingi za kusema I love you
Wengine vitendo husema mamu
Walio mbali hupiga hata simu
Usiharakishe kupenda mamu
Wajua pesa Ni Tamu ooh leeh
Na Maisha Ni Tamu ooh leeh
Lakini yataka watu pole
Upange mambo yako pole
Unavyocheza Tamu, unavyo Kata Tamu - aah
Unavyocheza Tamu wanipandisha hamu
Wanifanya Muguruki muguruki muguruki
Wanifanya Muguruki muguruki muguruki