Kuna wakati nakosa nguvu
Ya kuendeleaa
Maisha yangu yamebadilika sana
Na nikika chini tafakari
Sipati jibu
Pengine ni makosa
Niliyofanya yananihukumu
Siwezi kukata tamaa
Sina sababu
Kusimama imara
Heeeiyeee
Nitaishi maisha
Nitaheshimika
Sitasikiliza
Ya wanadamu
Nitaishi maisha
Nitaheshimika
Sitasikiliza mhhh
Ya wanadamu
Hiyeeiiiyeeeii
Huwooouuuwoouu
Hiyeeiiiyeeeii
Ya wanadamu
Nilivaa suti
Wakasema vaa shati
Ili nionekane msafi
Kwenye macho ya wanafiki
Nimesoma hadi
Nimepata vyangu vyeti
Wakapatwa na wasiwasi
Bimefahulu kwa bahati
Nikikaa chini
Tafakari sipati jibu
Pengine ni makosa
Niliyofanya yananihukumu
Siwezi kukata tamaa
Nina sababu
Kusimama imara
Iyeeee iyeeee iyeeee
Nitaishi maisha
Nitaheshimika
Sitasikiliza
Ya wanadamu
Nitaishi maisha
Nitaheshimika
Sitasikiliza mhhh
Ya wanadamu uuu
Hiyeeiiiyeeeii
Huwooouuuwoouu
Hiyeeiiiyeeeii
Ya wanadamu
Huwooouuuwoouu
Hiyeeiiiyeeeii
Huwooouuuwoouu
Ya wanadamu
Ya wanadamu
Hiyeeiiiyeeeii
Huwooouuuwoouu
Hiyeeiiiyeeeii
Ya wanadamu
Huwooouuuwoouu
Hiyeeiiiyeeeii
Huwooouuuwoouu
Ya wanadamu