Umbali kamwe hauwezi tenganisha
Nyoyo mbili zinazopendanaa
Uko mbaliiii
Natumaini tutaonanaa
Kama milele kuna kesho
Ambayo hatutakuwaa pamojaa
Daima kumbuka wewe ni shujaaa
Shujaaaaaaa
Nikifunga macho naona mboni zako
Hata nikilala ndoto ni zako
Ni wewe tuuu
Ni weweeeee
Ni wewe tuuuuu
Weeeeieeeeeeeeeieeeeeeiiii
Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe
Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe
Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe
Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe
Napenda navyohisi hata ukiwa mbali namiiii
Umbali umenipa sababu ya kukupenda zaidi eiyeee
Kuwa karibu nawe ni kitu ninachotamaniii
Haijalishi uko wapi mimi ni wako
Nakumbukaaa unavyochekaaaa
Kwenye midundo unavyochezaaaa
Sijachoka kusubiri bali nimechoka kuamka bila uzuri wa macho yako
Natumaini utarudi karibuni uongeze tabasamu languuuuu
Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe
Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe
Nasema nakupenda nasema nakupenda wewe
Milele nitakupenda milele nitakupenda wewe
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko mbali
Uko mbali Uko