[ Featuring PRITTY VISHY ]
Kibera finest
Woooah yeah, mercy walker pon dis yeah
pritty vishy
It's the d day, nimeingoja kwa hamu
Leo ni leo nakutana na mpoa wangu
Ananichanganya napoteza fahamu
Pale kwenye video call namtia wazimu
Natumai uko ready siku njema huonekana asubuhi
Najua uko happy uiweke mbali wasiwasi
Napenda ah napenda akinidekeza
anaponikashirisha nanuna anibembeleza
Najua ah unapenda akikudekeza
Anapokukasirisha kinuna akubembeleza
Aaaee aaaeee
ila Nina hofu kama bado atanipenda
Aaaeee aaaeee
mapenzi yetu yalikuwa ya insta
Aaaeee aaaeeee
Uko sawa mammy Najua atakupenda
Aaaeee aaaeee
Hebu jiamini mamaa
Hivi lakini Nina mawazo eh
Sijui itakuwa aje
Siku ya Kwanza kupatana eh
Sijui tabia zake
Wacha pressure
Na hio figure yako utatesa
Hakitakuramba
Bora usipayukeyuke Sana
Kama si kaa matarajio
Pritty Hebu tega masikio
Usingojee kilio
Mzungushie Macho toka mbio
Napenda ah napenda akinidekeza
anaponikashirisha nanuna anibembeleza
Najua ah unapenda akikudekeza
Anapokukasirisha kinuna akubembeleza
Aaaee aaaeee
ila Nina hofu kama bado atanipenda
Aaaeee aaaeee
mapenzi yetu yalikuwa ya insta
Aaaeee aaaeeee
Uko sawa mammy Najua atakupenda
Aaaeee aaaeee
Hebu jiamini mamaa