Back to Top

MR. LU* & Lukorito - Bora Uhai Lyrics

MR. LU* & Lukorito - Bora Uhai Lyrics

Wallahi sikuangi mrui
Me 'ukuanga tu munchies, labda nikiwatch vida za Kaluhi
Bag yangu ishaisha manze, nimebaki tu na ka loosie
Na huu plug wa shashamane, lately hukua na upuzi
Yo
Fungia makartel, free vybz
F*ck tribes, f*ck 5- oh pole
Kidole ya katikati, 'toa chai, weh ni mluhyia kwanza' ati
Niko lap nisha shikwa shati
Man I told them like Jimw@t
Juu enyewe life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema
Bora uhai
Me husema-

Bora uhai
Bora uhai
Bora uhai
Juu enyewe life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema, 'sema
Bora uhai! Bora uhai! Bora you high!
Juu cheki life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema
Bora uhai

And its still duck the papaya, ficha white uki light fire
Na hucheki macho ni nyanya , all black ndio attire
Ni kulia ama kupass kushoto
Mashada fo mashida, kaa dalili ya moto
Nko mamoshi, f*ck all that old shit
Na lately sidai kukata ma ocean
So, me hu burn bush instead
Nipate nikispark the gwez
Hit moja ina kubamba kaa Sheck Wes
Na 'akuna M-pesa, I only pay cash for blaze
Only paper trail ni smoking grey
I'm in over my head, no longer afraid
Life ni stress still, sikatai
Hucheki ndio me husema bora

Bora uhai
(Bora uhai, yeah, me husema bora u-)
Bora uhai
Bora uhai
Juu enyewe life ni stress hio sikatai, ndio maana manze me husema
Bora uhai
(Sema bora uhai, yeah, me husema bora u-)
Bora uhai
(Sema bora uhai, yeah, me husema)
Bora you high
Enyewe life ni stress hio sikata
Manze ndio me husema
Bora uhai
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.

English

Wallahi sikuangi mrui
Me 'ukuanga tu munchies, labda nikiwatch vida za Kaluhi
Bag yangu ishaisha manze, nimebaki tu na ka loosie
Na huu plug wa shashamane, lately hukua na upuzi
Yo
Fungia makartel, free vybz
F*ck tribes, f*ck 5- oh pole
Kidole ya katikati, 'toa chai, weh ni mluhyia kwanza' ati
Niko lap nisha shikwa shati
Man I told them like Jimw@t
Juu enyewe life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema
Bora uhai
Me husema-

Bora uhai
Bora uhai
Bora uhai
Juu enyewe life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema, 'sema
Bora uhai! Bora uhai! Bora you high!
Juu cheki life ni stress hio sikatai
Ndio maana manze me husema
Bora uhai

And its still duck the papaya, ficha white uki light fire
Na hucheki macho ni nyanya , all black ndio attire
Ni kulia ama kupass kushoto
Mashada fo mashida, kaa dalili ya moto
Nko mamoshi, f*ck all that old shit
Na lately sidai kukata ma ocean
So, me hu burn bush instead
Nipate nikispark the gwez
Hit moja ina kubamba kaa Sheck Wes
Na 'akuna M-pesa, I only pay cash for blaze
Only paper trail ni smoking grey
I'm in over my head, no longer afraid
Life ni stress still, sikatai
Hucheki ndio me husema bora

Bora uhai
(Bora uhai, yeah, me husema bora u-)
Bora uhai
Bora uhai
Juu enyewe life ni stress hio sikatai, ndio maana manze me husema
Bora uhai
(Sema bora uhai, yeah, me husema bora u-)
Bora uhai
(Sema bora uhai, yeah, me husema)
Bora you high
Enyewe life ni stress hio sikata
Manze ndio me husema
Bora uhai
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Timothy Wanjala
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

MR. LU* & Lukorito - Bora Uhai Video
(Show video at the top of the page)

Performed By: MR. LU* & Lukorito
Language: English
Length: 2:18
Written by: Timothy Wanjala

Tags:
No tags yet