MR. RAPHIMUS PEREMENDE
NDANI
INTRO:
MR. RAPHIMUS!
MR. RAPHIMUS RAPHIMUS!
EY EY!
EY...EY!
EY EY!
EY...EY!
VERSE ONE:
WOLLIPA MAN DEM DEMA BUSTING MY PHONE
WOLLIPA GAL DEM DEMA CALLING MY PHONE
WANAULIZA RUFFY UKO WAPI?
WANAULIZA RUFFY UNAFANYA NINI?
NIKO NDANI
NDANI KATIKATI KWENYE TRACKY NINAPARTY
TENA NIKO NAO WATOTO NA MABANATI
TUKO KWENYE ILE PARTY NDANI YA MA SHANTY
TUNAPIGA TENA NA MATOTI NA MATOTI
WENGINE PIGA KEGI WENGINE NI MA WINEY
WENGINE WHISKEY WENGINE WAKO KWENYE GINI
HINO PARTY INASHIKA VILE WANAKATI KATI KATI
KATIKA BABY GAL
BRIDGE:
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA TRY ME
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA CALL ME
RUFFY HUONEKANI MTAANI
RUFFY KWANI ULIENDA WAPI?
CHORUS:
NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
RUFFY NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
VERSE TWO:
WOLLIPA MAN
WOLLIPA MAN WANATAKA COME TEST MI
WOLLIPA MAN WANATAKA COME SETI MI
WOLLIPA MAN WAMEPEANA RIPOTI
WOLLIPA MAN WOLLIPA
WOLLIPA MAN
WOLLIPA MAN WANATAKA KUJA PIGA MI
WOLLIPA MAN ATI WANASHINDANA NA MI
WOLLIPA MAN HAWAWEZI MIMIMI
HAWANIWEZI BANA!
BRIDGE:
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA TRY ME
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA CALL ME
RUFFY HUONEKANI MTAANI
RUFFY KWANI ULIENDA WAPI?
CHORUS:
NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
RUFFY NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
VERSE THREE:
HE WHO HATH NO SIN
BE THE FIRST TO THROW THAT STONE
HE WHO HATH NO SIN
BE THE FIRST TO THROW THAT STONE
NA TUNAVUTA TUKIVUTA NA MAGWAI
ZIKISHIKA BASI LALA
ZIKIAMKA BASI WASHA WASHA WASHA TENA SANA
KUNYWA SANA BABY GAL PIGA TOTS NA
KUNYWA SANA BABY GAL NA MKOROGO
UM UM UM!
ANASEMA ATI SWAG IKO JUU
ANASEMA ATI ANATAKA NJUGU
NIONGEZE NJUGU
NIMPIGE MIGUU JU...JU!
NI UCHAWI TENA NI MA JUJU
NIKAMA KAMOTE NA KAMESHIKA
MTOTO NINAMPA JUJU
AMENIPA JUJU!
BRIDGE:
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA TRY ME
WOLLIPA MAN DEM DEMA DEMA CALL ME
RUFFY HUONEKANI MTAANI
RUFFY KWANI ULIENDA WAPI?
CHORUS:
NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
RUFFY NIKO NDANI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA WA NATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI NA BANATI
NDANI NDANI NDANI NDANI NDANI KWENYE PARTY
OUTRO:
MR. RAPHIMUS!
MR. RAPHIMUS RAPHIMUS!
EY EY!
EY...EY!
EY EY!
EY...EY!
ZJ AZZIM ON THE BEAT