[ Featuring Linky Ewoi ]
MR. RAPHIMUS PEREMENDE
PEREMENDE FT. LINKY EWOI
INTRO:
MR. RAPHIMUS!
MR. RAPHIMUS! MR. RAPHIMUS!
EY!
NA AZZIM HII NI MOTO MAN
PEREMENDE
TAMU KAMA PEREMENDE
AY!
PEREMENDE
MTOTO TAMU PEREMENDE
PRE CHORUS:
MTOTO TAMU KAMA PEREMENDE
ASALI ASALI TENA KAMA NYUKI
MTOTO TAMU HALUA HALUA
MTOTO TAMU TENA KAMA TENDE
CHORUS:
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
VERSE ONE:
WHAT A BODY SO NICE
MUMMY KWELI UMENIBAMBA
KIUNO CHAKO CHA MIRABA
CHUPA YAKO COKACOLA
WHAT ABODY SO NICE
PAMBA ZAKO SAFI
NAKUCHEKI MUMMY
UMEJIBEBA HONEY
BRIDGE:
ANGEL
ANGEL BASI MWANA ANGEL
ANGEL!
TOTO MALAIKA TOTO
TOTO!
ANGEL BASI MWANA ANGEL
ANGEL!
TOTO
MALAIKA
WEWE MALAIKA
UMEUMBIKA
MWANA UMEUMBIKA!
MALAIKA
WEWE MALAIKA
UNATAMANIKA
UNATAMANIKAA!
CHORUS:
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
VERSE TWO:
MADAHA YAKO GAL IS MESSING WITH MY HEAD
SITAKI KESHO NINATAKA TODAY
J HOLIDAY I'LL PUT YOU TO BED
DON'T PLAY WITH ME NIPE MAPENZI
BRIDGE:
ANGEL
ANGEL BASI MWANA ANGEL
ANGEL!
TOTO MALAIKA TOTO
TOTO!
ANGEL BASI MWANA ANGEL
ANGEL!
TOTO
MALAIKA
WEWE MALAIKA
UMEUMBIKA
MWANA UMEUMBIKA!
MALAIKA
WEWE MALAIKA
UNATAMANIKA
UNATAMANIKAA!
CHORUS:
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu kama peremende)
LINKY EWOI:
SWEETER THAN ASALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (asali asali tena kama nyuki)
LINKY EWOI:
BOY NIMEKUBALI
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu halua halua)
LINKY EWOI:
WON'T YOU PUT YOUR BODY PON ME
MR. RAPHIMUS:
PEREMENDE (mtoto tamu tena kama tende)
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
OUTRO:
LINKY EWOI:
USIENDE MBALI
USIENDE MBALI...II!
MR. RAPHIMUS:
(wailing)