Tuko na manyatto tuko seterere
Skuadi imedunga iko smarterere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuadi imedunga iko smarterere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Ola
Ola
Mr. Raphimus
Mr. Raphimus
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Somebody go Ring The Alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Somebody go Ring The Alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Ruffy ninajua wanicheki mama
Lakini inaweza kuwa seti dada
Mi ni big fish maji mengi bana
Wachanga kunipima mi ni janje sana
Wakidoz wanajua tunawakanyagia
Chali zao kila place wanatuangalia
Ngeli Yao iko down tunawafagilia
Wakilewa wanableki wanajiachilia
Wakidoz wanajua tunawakanyagia
Chali zao kila place wanatuangalia
Ngeli Yao iko down tunawafagilia
Wakilewa wanableki wanajiachilia
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Somebody go ring the alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Somebody go ring the alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Never slow down enda speedy mama
Twist ukiturn kisha bingirisha
Hio tam tam iko sweet tu sana
Basi back it up then tetemesha
Kanungo cocacola umenimaliza
Macho monalisa yanametameta
Vile unasonga unazubaisha
Ruffy nina dawa nitaichachisha
Kanungo cocacola umenimaliza
Macho monalisa yanametameta
Vile unasonga unazubaisha
Ruffy nina dawa nitaichachisha
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Tuko na manyatto tuko seterere
Skuodi imedunga iko smartere
Pia team fisi wako hunterere
Na hawa magaldem wako thirsterere
Somebody go ring the alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Somebody go ring the alarm
Hawa busy body wanaleta utam
Ikibamba sana piga nduru madam
Vile unapinda hio figure balaa
Lukenya Movement
Ruffian Records
Ask The Streets