Nimekuwa kama snipper niki isoma target
Macho yangu kwake mrembo imeshikwa baridi
The girl give me that thing hata siji elewi
Nakwake penzi nimesha zama sihitaji shahidi
Why she do me like that
She treats me like that
Maombi nimetuma majibu yamekuja nikwamba hanitaki
Do me like that girl to ignore me like that
Nakwako nina penzi la kweli don't leave me like that oo baby
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je nampenda yeye
Mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni mwambiyeni aje kidogo
Mtoto mtamu mtamu yuko sweet sana kama banana
Sina pupa kwake nime sizi sana nimetuwa
Amejazika na mafuta kiunoni
Sura la bashasha usoni
Na sina pesa ye ana penda ma doni
Ana niumiza roho
Why she do me like that
She treats me like that
Maombi nimetuma majibu yamekuja nikwamba hanitaki
Do me like that girl to ignore me like that
Nakwako nina penzi la kweli don't leave me like that oo baby
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je namupenda yeye
Nifanye je nampenda yeye
Mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni aje kidogo
Mwambiyeni mwambiyeni aje kidogo
Mtoto mtamu mtamu yupo sweet sana kama banana
Sina pupa kwake nime sizi nime tuwa