Back to Top

Omnivore TheCulture - Chanzo Lyrics



Omnivore TheCulture - Chanzo Lyrics




Ooh ye yeye Omnivore
Najua aaa moyo haujakukosea
I'm sorry kwa yaliotokea
Naumia sana aaahh Naumia naumia
Ni kama sina maana
Ona nalia aaahhh
Maumivu ya mapenzi
Yatakufanya uonekane haujiwezi
Yatakutoa machozi oyieee
Sina la kusema yani kigugumizi
Media na maswali Mama kiuchokozi
Umeniharibu nimekoma nimekoma
Ona umeikata mizizi
Nakuungaunga tena siwezi

Chanzo cha kuachana naye
Usinikumbushe usinikumbushe
Na Vidonda alivyonipa yeye
Usinitoneshe Usinitoneshe

Ona aaahhh imebaki story
Maamuzi yako siapingi nimekubali
Ila bila wewe sioni utamu wa hizi pesa na magari
Ningependa ujue
Hisia zangu bila wewe zimeganda
Tena zimepinda
Aaahahahahaha
Sijutii kukupenda
Maamuzi uliochukua yamenikondesha
Eeeheee yeye
Umenipa vidonda ndugu umenikomesha
Eeeeheee yeye
Yani chanzo chanzo
Umenipa mawazo mama
Yani chanzo chanzo
Umenipa mawazo
Umeniuma baby.

Chanzo cha kuachana naye
Usinikumbushe usinikumbushe
Na Vidonda alivyonipa yeye
Usinitoneshe Usinitoneshe
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


Swahili

Ooh ye yeye Omnivore
Najua aaa moyo haujakukosea
I'm sorry kwa yaliotokea
Naumia sana aaahh Naumia naumia
Ni kama sina maana
Ona nalia aaahhh
Maumivu ya mapenzi
Yatakufanya uonekane haujiwezi
Yatakutoa machozi oyieee
Sina la kusema yani kigugumizi
Media na maswali Mama kiuchokozi
Umeniharibu nimekoma nimekoma
Ona umeikata mizizi
Nakuungaunga tena siwezi

Chanzo cha kuachana naye
Usinikumbushe usinikumbushe
Na Vidonda alivyonipa yeye
Usinitoneshe Usinitoneshe

Ona aaahhh imebaki story
Maamuzi yako siapingi nimekubali
Ila bila wewe sioni utamu wa hizi pesa na magari
Ningependa ujue
Hisia zangu bila wewe zimeganda
Tena zimepinda
Aaahahahahaha
Sijutii kukupenda
Maamuzi uliochukua yamenikondesha
Eeeheee yeye
Umenipa vidonda ndugu umenikomesha
Eeeeheee yeye
Yani chanzo chanzo
Umenipa mawazo mama
Yani chanzo chanzo
Umenipa mawazo
Umeniuma baby.

Chanzo cha kuachana naye
Usinikumbushe usinikumbushe
Na Vidonda alivyonipa yeye
Usinitoneshe Usinitoneshe
[ Correct these Lyrics ]
Writer: barnabas ogonya
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid




Omnivore TheCulture - Chanzo Video
(Show video at the top of the page)


Performed By: Omnivore TheCulture
Language: Swahili
Length: 3:04
Written by: barnabas ogonya

Tags:
No tags yet