Dunia duara
Ni rangi rangile
Nimo ndani mwa shimo
G-iza totoro
Bure yote ni bure
Jua la'ngaa kisha kesho'ye
Jicho lazidi tamaa
Aaaah, tamaa
Eeeeh, Asubuhi
Ilishafika
Sitakwama
Kwata tarajio la kesho kesho kesho
Nitashukuru kwa ya leo
Ehhh Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho
Ulichonacho shika, shiba, kisha baadaye
Achilia Mola
Thamani yako zaidi ya ndege angani
Sahau wasiwasi
Kicheko nafuu
Usidharau
Zawadi zako, nazo baraka
Furahia
Eeeeh, Asubuhi
Ilishafika
Sitakwama
Kwata tarajio la kesho kesho kesho
Nitashukuru kwa ya leo
Ehhh Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho, kesho
Kesho, kesho, kesho
Aaah, kesho