Ahahahah
Ni Lucky Prince ooh
Naomba Kidogo niseme nawe
Maringo kando me nakudahi
Toka kitambo nakuona yeeh
Mmmh
Sijaona meingine yaani kama we
Sikutambui ushanipa nyege
Chini vile ulivyoshona yeeeeh
Mmmh
Kupitisha kwa mabano utanipenda eh
Sio siri sio kujigamba
Usinipe kisogo nakutaka wewe
Mastingo kiMessi kiRonaldo
Mcho sexy kama Mobeto
We ni mali safi kama lilly Mo'
Kiuno fire kama Nasenya
Me naomba nikichambue eeh
Hii
Fanya kama unachutama, shika magoti
Tingisha kulia kushoto Mpaka chini
Inuka kama unateguka, shika kiuno
Nionyeahe basi unavyokizungusha Yeyeh
Nionyeshe
SHOW ME, SHOW ME
Nionyeshe
SHOW ME, SHOW ME
Nionyeshe
Show Me What You Gat, Ebu tingisha Nikuone
Eeeh eeeeh eeeeeh
Chii
Bandika Bandua
Usitie mchanga kitumbua
Ebu tulia sasambua
Shika ukuta mama sugua
Eeih
Akamwana kamebuchecha eh
Naomba kidogo nisambulie
Kanafanya bure tu nacheka eh
Kwa penzi lake nateketea
Nikimwona moyo unadunda (Kadunda, kadunda)
Nikimwona moyo unadunda yeeyah
Mastingo kiMessi kiRonaldo
Mcho sexy kama Mobeto
We ni mali safi kama lilly Mo'
Kiuno fire kama Nasenya
Me naomba nikichambue eeh
Hii
Fanya kama unachutama, shika magoti
Tingisha kulia kushoto Mpaka chini
Inuka kama unateguka, shika kiuno
Nionyeahe basi unavyokizungusha Yeyeh
Nionyeshe
SHOW ME, SHOW ME
Nionyeshe
SHOW ME, SHOW ME
Nionyeshe
Show Me What You Gat, Ebu tingisha Nikuone
Pole pole kadogo yeeah
Niguzishe kidogo Mami
Pole pole kadogo eh,
Usinipe kisogo
Pole pole kadogo
Niguzishe kidogo
Pole pole kamami yoyoyo
Usinipe kisogo