Back to Top

Rusha(feat Nash Hinga) Video (MV)




Performed By: Rass B
Language: English
Length: 3:10
Written by: Louisa Nungari, Luke Ochieng, Nash Hinga
[Correct Info]



Rass B - Rusha(feat Nash Hinga) Lyrics




Kama mbaya mbaya, wee kubali
Niko form ya kubadilisha hali
Wanasema Rass B si usare
Usinione hivo, nimetoka mbali
Na bado my day ones, ni wale wale
Hustle hard, tukitafuta mahari
Kwa sababu hii game nishaimarry
Ni kutakeover, na hakuna tafadhali
So leta barley, leta Bob Marley
Wacha zilipuke wadhani tuko Somali
Leta barley, leta Bob Marley
Wacha zilipuke wadhani tuko Somali

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!

Hamnitishi, Hamnibabaishi,
Nobody can block me from my wishes
I stay strong and focused on my vision
Life ni yako, choose vile utaishi
For you to get like me, piga tizi
Punguza pupa, badilisha dishi
Pull up to the scene, bad vibes stay missing
Wanati wako irie, mababi wako eazeh
Tuna-take-over bila ruhusa
Tuna-wa-ongoza kama Musa
Be yourself, stay aware, get loose
Get on your feet kama ngoma imekugusa

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!

Kaa ni mboka wanadai, tunarusha
Kaa ni soccer wanadai, tunagusa
Kichwa mbaya na ni dredi, kaa Medusa
Nash Hinga, wansema mi huwanga nuisance
Mi na sheria hatujai pendana
Kama maji na mafuta hatujai patana
Form za mamblainer hatujai ng'ang'ana
Utakunja ngumi turushe ama tu ni pang'ang'a
Niko behind bars, Addi Ticha
World is a jungle, mi ni creature
Wakisema it's the end of the world, basi nageuka preacher

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!
[ Correct these Lyrics ]

[ Correct these Lyrics ]

We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


We currently do not have these lyrics. If you would like to submit them, please use the form below.


English

Kama mbaya mbaya, wee kubali
Niko form ya kubadilisha hali
Wanasema Rass B si usare
Usinione hivo, nimetoka mbali
Na bado my day ones, ni wale wale
Hustle hard, tukitafuta mahari
Kwa sababu hii game nishaimarry
Ni kutakeover, na hakuna tafadhali
So leta barley, leta Bob Marley
Wacha zilipuke wadhani tuko Somali
Leta barley, leta Bob Marley
Wacha zilipuke wadhani tuko Somali

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!

Hamnitishi, Hamnibabaishi,
Nobody can block me from my wishes
I stay strong and focused on my vision
Life ni yako, choose vile utaishi
For you to get like me, piga tizi
Punguza pupa, badilisha dishi
Pull up to the scene, bad vibes stay missing
Wanati wako irie, mababi wako eazeh
Tuna-take-over bila ruhusa
Tuna-wa-ongoza kama Musa
Be yourself, stay aware, get loose
Get on your feet kama ngoma imekugusa

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!

Kaa ni mboka wanadai, tunarusha
Kaa ni soccer wanadai, tunagusa
Kichwa mbaya na ni dredi, kaa Medusa
Nash Hinga, wansema mi huwanga nuisance
Mi na sheria hatujai pendana
Kama maji na mafuta hatujai patana
Form za mamblainer hatujai ng'ang'ana
Utakunja ngumi turushe ama tu ni pang'ang'a
Niko behind bars, Addi Ticha
World is a jungle, mi ni creature
Wakisema it's the end of the world, basi nageuka preacher

Na wakirusha tunarusha!
Bad-Mind, wakizusha tunazusha!

Wakikuja tunakujaa!
Chora line, wakivuka tunavuka!

Rusha! Rusha! Rusha!
Rusha! Rusha! Rusha!
[ Correct these Lyrics ]
Writer: Louisa Nungari, Luke Ochieng, Nash Hinga
Copyright: Lyrics © O/B/O DistroKid

Back to: Rass B

Tags:
No tags yet