Ni wewe tu pekee unayeweza kutusaidia
Teknolojia imeshindwa kutusuaidia
Akili zetu zimefika mwisho
Tunakutegemea wewe tu
Sikia maombi yetu
Ukayajibu sawa na mapenzi yako
Sikia maombi yetu
Ukayajibu sawa na mapenzi yako
Maombi haya Bwana
Twayaleta kwako
Wewe ndiwe twakutegemea
Wewe ulifanya
Mbingu na dunia
Hakuna jambo ambalo linaweza
Kukushinda
Je ni jambo gani gumu kwako
Usiloliweza, Bwana
Je ni jambo gani gumu kwako
Usiloliweza, Bwana
Je ni neno gani gumu kwako
Usiloliweza, Bwana
Je ni neno gani gumu kwako
Usiloliweza, Bwana
Usiloliweza, Bwana
Usiloliweza, Bwana
Usiloliweza, Bwana
Usiloliweza, Bwana